KISWHAILI LUGHA GRADE LA 7.

Institution JUNIOR SECONDARY SCHOOL
Course KISWHAILI LUGHA GRAD...
Year 1st Year
Semester Unknown
Posted By stephen oyake rabilo
File Type pdf
Pages 4 Pages
File Size 373.39 KB
Views 3063
Downloads 0
Price: Buy Now whatsapp Buy via whatsapp
  • whatsapp
  • facebook
  • twitter

Description

1. Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali. Fisi, sungura na ndozu walikuwa marafiki wa kuzikana. Kutokana na uwezo wao, kimapato, watoto wao walisomea katika shule ya mabweni ya mtepetevu. Wanafunzi wa shule hiyo walitembelewa na wazazi wao. Takribani kila mzazi alimbebea mwanawe chakula isipokuwa sungura. Walifanya hivyo licha ya kuwa watoto walirudi shuleni siku chache zilizopita. Mkutanoni wazazi walizozana kuhusu maankuli shuleni siku, mavazi na hata mitindo ya nywele ya wanawao. Fisi na ndovu walikua mstari wa mbele kutaka wana wao wapewe mapocho pocho. Wanyama wengi walikua na wanao shule hiyo hawakuzingatia sana juhudi za wanao masomoni, kinyume na kawaida yao. Hata hivyo wengine waliona mbele wakapinga, udekezaji huo. Mazozano ulipokuwa ukipamba moto, mwanawe Sungura aliyekuwa akivaa kilalahoi aliingia mkutanoni. Baadhi ya wanyama walipomwano walishindwa kwani mkutano ulikuwa ni wa wazazi. Kijana aliketi na kuwasikiliza. Fisi alisimama na kusema. “Hatuelewi ni kwa nini watoto wetu hawali nyamachoma, kima kwa hapati. Tunalipa! Kwa nini wale bure na ugali tu?” Kijana wa sungura alisimama na kusema, “Hoja mnazotoa si…….” Baadhi ya wazazi wanakadakia na kusema. “We nyamaza u motto kazi ni kunyamaza na kuwapasa ujumbe wazazi wako baadaye.” Alipoulizwa
Below is the document preview.

No preview available
GRADE 7 AGRICULTURE PP1
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
8 Pages 151 Views 0 Downloads 558.76 KB
GRADE 7 AGRICULTURE PP2 MS
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
6 Pages 132 Views 0 Downloads 38.24 KB
GRADE 7 IRE
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
18 Pages 218 Views 0 Downloads 119.02 KB
GRADE 7 IRE MS Trending!
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
9 Pages 2591 Views 0 Downloads 116.48 KB
GRADE 7 KSL PP1 MS Trending!
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
3 Pages 2651 Views 0 Downloads 273.73 KB
GRADE 7 KSL PP2 Trending!
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
7 Pages 2298 Views 0 Downloads 832.61 KB
GRADE 7 KISWAHILI PP1 MS Trending!
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
2 Pages 2715 Views 0 Downloads 184.5 KB
GRADE 7 KISWAHILI PP1
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
8 Pages 141 Views 0 Downloads 148.37 KB
GRADE 7 KISWAHILI PP2
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
10 Pages 157 Views 0 Downloads 219.76 KB
GRADE 7 KISWAHILI PP2 MS Trending!
QUALITY ASSESSMENT KNEC FORMAT AND STRUCTURE
8 Pages 2357 Views 0 Downloads 134.49 KB