ushairi
| Institution | University |
| Course | KISWAHILI |
| Year | 8th Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | Muriithi Anderson |
| File Type | docx |
| Pages | |
| File Size | 168.26 KB |
| Views | 694 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Below is the document preview.
USHAIRI ANDISHI NOTES
Trending!
Ushairi unaweza kuwa kipera cha fasihi simulizi (nyimbo) na pia katika fasihi andishi kwa sababu mashairi yanaweza kuwasilishwa kwa njia ya kukariri na pia kwa njia ya maandishi. Mashairi yanayoghanwa badala ya kuimbwa huitwa maghani.
33 Pages
3747 Views
5 Downloads
90.46 MB
MWONGOZO WA USHAIRI
Hizi ni insha za kubuni; yaani insha ambazo hazifuati utaratibu maalumu jinsi ilivyo katika insha za kiuamilifu. Insha za kubuni hazitumiki katika miktadha rasmi kama zilivyo tungo za kiuamilifu. Hii ndiyo sababu hazina muundo maalumu wa kufuata wakati wa kuziandika. Insha za kawaida ambazo zimeshughulikiwa katika surah ii ni insha ya maelezo, mawazo, mdokezo, methali. Mazungumzo na masimulizi.
111 Pages
665 Views
1 Downloads
1.17 MB
USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA
Trending!
Makala hii inahakiki mabadiliko ya kimtindo katika utunzi na uwasilishaji wa ushairi wa kiswahili.
28 Pages
3805 Views
0 Downloads
153.63 KB
KCSE HAZINA YA USHAIRI; NAKALA YA UCHAMBUZI
Ushairi ni utanzu wa fasihi unaotumia muundo maalum na mapangilio teule wa maneno
ili kuwasilisha kusudi la mtunzi kwa msomaji na msikilizaji. Ushairi unaweza kuwa
utanzu wa fasihi simulizi na pia fasihi andishi kwa sababu mashairi yanaweza
kuwasilishwa kwa njia ya kuimba, kukariri, kughani, kuandikwa. Sifa kuu ambayo
hutofautisha ushairi simulizi na ushairi ulioandikwa ni utendaji.
243 Pages
597 Views
0 Downloads
895.16 KB