Mwongozo wa Bembea Ya Maisha

Institution Secondary
Course KCSE
Year 4th Year
Semester Unknown
Posted By Mwalimu Evans Okoyo.
File Type pdf
Pages 57 Pages
File Size 547.92 KB
Views 5993
Downloads 41
Price: Buy Now whatsapp Buy via whatsapp
  • whatsapp
  • facebook
  • twitter

Description

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n'kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii.
Below is the document preview.

No preview available
Simplified C.R.E Form 4 Notes Trending!
Work refers to the use of bodily or mental powers with the purpose of doing or making something. It can also refer to what somebody does to earn a living e.g. employment. Work is the opposite of play or recreation. We work in order to try and change our environment for the better.
4638 Views 0 Downloads 91.5 KB
ARE 401: CONTEMPORARY RELIGIOUS THOUGHT Trending!
Alongside arts, philosophy and science, religion has been one of the dominant preoccupation of humanity .Religion has had more wide spread appeal than all the other activities in the past and modern. It determines how people act and organize themselves as a family and a society . It cannot be left out as a very significant aspect of society.
3646 Views 0 Downloads 292.5 KB
BIOLOGY ESSAYS GUIDE Trending!
Explain the various ways in which a typical cell is adapted to its functions.
32 Pages 5813 Views 0 Downloads 475.22 KB
AGRICULTURE PAST KCSE KNEC TOPICALS Trending!
K.C.S.E PAST PAPERS
40 Pages 4063 Views 1 Downloads 640 KB
Mastering Chemistry Practical Guide Trending!
This is a comprehensive chemistry practical guide.
24 Pages 6202 Views 7 Downloads 903.51 KB
JIJIZE KISWAHILI FASIHI REVISION Trending!
Fasihi ni sanaa ya lugha. Fasihi hutumia lugha kutoa sanaa mbalimbali katika jamii.
57 Pages 5452 Views 1 Downloads 1021.41 KB
JIJUZE KISWAHILI USHAIRI Trending!
Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia lugha teule na mpangilio fulani wa maneno badala ya kutumia lugha natharia(mfululizo).
28 Pages 8035 Views 11 Downloads 3.8 MB
CHOZI LA HERI MWONGOZO TOLEO LA 2021 Trending!
Jalada ni sehemu iliyoko juu ya kitabu hasa huwa ngumu na mambo yaliyo muhtasari Wa kile msomaji ataraji ndani. Jalada huwa kuwili yaani, jalada LA mbele na LA nyuma. Kunavyo vipengele muhimu hasa rangi za michoro na maandishi.
54 Pages 4767 Views 0 Downloads 1.34 MB
KIGOGO MASWALI NA MAJIBU Trending!
Anwani kigogo ina maana – mtu mwenye madaraka makubwa ya kiutawala
19 Pages 4916 Views 0 Downloads 376.35 KB
LATEST CHOZI LA HERI GUIDE
Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake , Robert Kambo. Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea. Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo maeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi. Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwa miongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa la Kalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hiki kimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaa rangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi, mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengine yaliyokuwa na rutuba ni kama Msitu wa Mamba. Watu waliogura makwao walipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakula kama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.
848 Views 0 Downloads 525.71 KB