Kiswahili Notes
| Institution | Primary |
| Course | KCPE |
| Year | 1st Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | Michael Paul |
| File Type | |
| Pages | 163 Pages |
| File Size | 582.16 KB |
| Views | 277 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Below is the document preview.
BEC 3102; INTERATED KISWAHILI NOTES
Trending!
Lugha yoyote ile ni lazima ipanuke ili iweze kukidhi mahitaji ya kila siku ya jamii
husika .Kupanuka tunakorejelea ni kuongezeka kwa maneno katika lugha
husika.Kama lugha haitaunda maneno kwa kasi inayohitajika huenda
“ife”.Watalaamu wa lugha(wanaisimu) huchunguza utaritibu unaotuniwa na lugha
kujiongezea maneno.Wanaisimu huichunguza lugha katika viwango
mbalimali;sauti,maneno,sentensi,maana,matumizi na hata diskosi.Kazi hii itajikita
katika kiwango cha maneno(mofolojia)na sentensi(sintaksia).Viwango vingine
vitashughulikiwa katika sehemu zingine za msululu wa vitengo vya kozi hii.
66 Pages
2576 Views
0 Downloads
211.77 KB
GREDI YA KWANZA: KISWAHILI NOTES & QUESTIONS
Trending!
Download a copy of CBC Grade 1 Kiswahili Notes and Questions booklet.
86 Pages
2798 Views
2 Downloads
186.02 KB
GRADE 1 KISWAHILI NOTES
Trending!
Looking for comprehensive Grade 1 kiswahili notes? Find detailed resources and study materials to excel in your French studies. Perfect for teachers and students seeking high quality content.
127 Pages
3554 Views
1 Downloads
1.36 MB
JSS Kiswahili Notes:Matini angavu ya Sarufi ya Junia
Trending!
Nakala hii ina matini angavu ya Sarufi ya Junia kuanzia gredi ya saba hadi gredi ya tisa. Waama, matini haya yamepangwa na kuandaliwa kwa utondoti. Hivyo imemrahisishia mwalimu kazi na kuokoa muda wa kuandika matini.
36 Pages
2245 Views
11 Downloads
1.04 MB
MOFOLOJIA YA KISWAHILI NOTES
Mofolojia ni taaluma ya isimu inayoshughuliki muundo wa maneno. Ni taaluma inayoshughulikia vipashio vya lugha na mpangilio wake katika uundaji wa maneno.
52 Pages
1966 Views
1 Downloads
617.89 KB
SARUFI ZA KISWAHILI NOTES
Sarufi nimfumo na kanuni za lugha zinazomwezesha mtumiaji wa lugha
kuitumia lugha husika kwa usahihi. Mfumo huo humwezesha mzungumzaji
kutunga sentensi zisizo na kikomo ambazo hukubalika na wazawa wa lugha
wanaoifahamu lugha hiyo barabara. Hivyo ni dhahiri kwamba kila lugha ya
mwanadamu huwa na mpangilio na sheria zinazoilinda ili kuifanya kuwa
toshelevu na sanifu, na uzingatiwaji wa kanuni na taratibu hizo kwa mtumiaji
humfanya na kumtambulisha kama mmilisi wa lugha hiyo.
19 Pages
1927 Views
0 Downloads
220.59 KB
DPTE KISWAHILI NOTES
Pijini ni aina ya lugha inayojitokeza panapotokea mpangusano au mwingiliano wa watuwanaozungumza lugha tofauti. Pijini haina wazungumzaji asilia. (Pidgin is a language having nonative speakers. It’s used by two populations having no common language “lingua franca”).
89 Pages
1132 Views
3 Downloads
520.84 KB